" Okay it happened that wamekuwa na issues with his guy anasoma Cooperative University. So alikuwa kwa bash ya bae wake like two weeks ago sa c akamshoo aende Nai hiyo bash ndio wa talk things out. so ye akaenda Nai wakaongea and everything was Ok between them. Alienda Friday alikuwa arudi on a Sunday but akadecide ku-extend masiku so on Monday night akachukua phone ya chali yake because already amekuwa akiskia tufununu kuna Dem anaitwa Ethel wa hiyo campus ya Chali yake wanadate so akasoma matext na akaconfirm ni ukweli so like akajam coz she thought everything was fine alafu Tuesday chali yake akaanza like kumpressure arudi chuo.
Fridah akasema atakaa hadi Friday. So on that Tuesday, chali yake akaenda chuo na kumwacha kwa nyumba but jioni hakurudi kumbe alienda kwa Ethel (the other Lady) so she got mad and the following day ilikuwa wenno 6am alikuwa ashaapanda mat na Kurudi Naks bila kuambia msee yeyote.
So Jana kuna beshte yetu alikuwa na bash Narok. Velma akaenda hiyo bash. Huyo boy wake pia alikuwa ameenda hiyo bash na Ethel ndio Velma afeel mbaya as if thats not enough walif*** mbele ya Velma na hiyo kitu ilimhurt zaidi hadi aka end up making that decision ya kujiua because alikuwa anampendz sana boy wake...so sad though" narrates one of her friends.
RIP Comrade.
Comments
Post a Comment